Tabibu wa Karibu

A country song about a grandfather showing his granddaughter the barn where he first danced with her grandma
cally
2026-06-18 18:46
Tabibu wa karibu yangu mimi ni yesu Tu
msaada wa karibu yangu mimi ni yesu tu
kama si yesu kumwaga damu ningekuwa wapi
kama si yesu kunishindia ningekuwa wapi
haja yangu yesu nikuone wewe
haja yangu yesu Niishi na wewe
mimi sina chochote naona wewe wanitosha
mimi sina chochote naona weww wanitosha
maisha mapya ndani ya Yesu wetu yapatikana tele
uzima mpya ndani ya Yesu wetu wapatikana tele
maisha ya kudumu kwa yesu wetu yapatikana tele
haja yangu yesu nikuone wewe
haja yangu yesu Niishi na wewe
mimi sina chochote naona wewe wanitosha
mimi sina chochote naona weww wanitosha